♪ Nani Kama Mama ♪ official lyrics kumepambazuka
asubuhi na mapema
najitoa shuka nahisi tunazozana
kumbe moyo na nafsi vinakwazana
na sitaki moyo kupenda tena
mwili umekufa ganzi maumivu mwili mzima
moyo unauliza nafsi kumbuka yale ya nyuma
niliteseka na penzi langu
mama mama
masikini moyo wangu mie.
sasa nimpe nani, anaejua thamani
ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani
sasa nimpe nani, ataejua thamani
ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani

niliompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu, maaachooo.
anaejua kupenda, anaejali thamani ya neno looove.
niliompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu, maaachooo.
anaejua kupenda, anaejali thamani ya neno looove.
nawe usinidhihaki, usiponipenda mie
sijazoea mikiki napenda raha mieee
niliteseka na penzi langu
mama mama
masikini moyo wangu mie.
sasa nimpe nani, anaejua thamani
ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani
sasa nimpe nani, ataejua thamani
ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani